Kuhusu Sotika
Imesasishwa mwisho
Sotika inaleta ununuzi, uuzaji na usafirishaji mahali pamoja.
Duka
Nunua kutoka duka la Sotika lenyewe, kwa bei zilizo wazi na utaratibu wa kurudisha bidhaa unaoweza kuutegemea.
Soko
Nunua kutoka kwa wafanyabiashara tuliowathibitisha. Unaweza kuzungumza na muuzaji kabla ya kununua, na malipo yako huhifadhiwa kwa usalama hadi oda yako ifike.
Usafirishaji
Mtandao wetu wa usafirishaji huleta oda mlangoni kwako au kwenye kituo cha kuchukulia mizigo kilicho karibu nawe.
Ungependa kuuza nasi? Tazama Uza kwenye Sotika.